Mwanaharakati wa kutetea haki za watoto wa kike nchini Pakistani mwenye umri wa miaka 17 Malala Yousafzai leo amepokea tuzo ya amani wholesale pharmacy online ya Nobel katika ukumbi wa jiji la Oslo nchini Norway, Malala alishinda tuzo hiyo mwezi Oktober mwaka huu mexicanpharmacy-onlinerx akiwa pamoja na mwanaharakati kutoka nchini sildenafil bei der frau India Kailash http://viagra-vs-cialis-best.com/ Satyarthi. Malala aliyezaliwa mwaka 1997 alipigwa risasi mwaka 2012 na mwanamgambo wa kundi la Taleban sildenafil 40 mg troche nchini Pakistan kutokana na harakati zake za kutetea haki za watoto wa kike nchini Pakistani kupata elimu. “Nasimulia Hadithi yangu, sio kwasababu ni yakipekee lakini kwasababu sio,ni hadithi ya mabinti wengi” Aliendelea “I am pretty certain that I am also the first recipient of the Nobel Peace Prize who still fights with her younger brothers”. More pics from the ceremony after the cut…” Malala Alifanyiwa upasuaji wa kuondoa risasi kichwani mwake nchini Uingereza, upasuaji uliookoa uhai wake. Kwasasa Malala ndiye mtu mwenye umri mdogo sana kushinda tuzo za aman za Nobel. Picha