Msanii Wa Filamu Kutoka GollyWood/NollyWood VanVicker Amepata Ajali mbaya jana siku ya juma pili wakati anaelekea Kanisani
Kupitia ukurasa wa FaceBook wa msanii mwenzie kutoka huko Inni Edo Ameshare story hiyo huku akiomba wapenzi na washabiki kuuombea Muigizaji huyo aliyepata ajali huku akisema kuwa Doctor Amesema Hali bado ni mbaya kutokana na kwamba Van Vicker amekua Akivuja damu ndani kwa ndani huku zikitokea mdomoni