Rapper kutoka Philadelphia Meek Mill yuko akiaanda ‘Dreamchaser 4” mixtape.
Meek Mill wazi wazi alimchana Drakr katika kipande katika nfoma iliyoachiwa kupitia YouTube.
“When I was saying shit about the rhymes you ain’t wrote / I can’t wait ’til we run in ya / I’ma put a gun in ya,” anarap Meek Mill kwenye ngoma hiyo.
Majira ya kiangazi Meek Mill alimtuhumu Drake kuwa anaandikiwa mashahiri ambapo ilichochea ugomvi mwanzo mwisho kati ya marapa hao wawili, Drake akaachia ngoma ya “Charged Up” na “Back to Back” ambazo zote zilikuwa diss kwa Meek Mill na Meek Mill aliachia ngoma inaitwa “Wanna Know”
Meek Mill anafanyia kazi za “Dream Chasers 4” ni muendelezo wa mixtape yake hiyo inayoitwa “Dream Chaser”
Angalia video clip hapo chini Meek Mill akimdiss wazi wazi Drake: