KILA KUNAPOKUWA NA TUNZO KUBWA KAMA GOLDEN GLOBS NA NYINGINEZO HAPO NDIPO TUNAPOJIONE VITU VIPYA KWA UPANDE WA FASHION HASA KWETU SISI WANAWAKE KWA MAANA WANAUME HAWANA JIPYA ZAIDI YA SUTI NA BALTIE ZAO,
HAPA KWA KINA MAMA UTAPATA MITINDO YA NYWELE, AINA MPYA ZA MITINDO YA MAGAUNI KUANZIA MIKATO NK, AINA ZA VITAMBAA VINAVYOTUMIKA KWA NGUO HIZO, MAPAMBO, MAKEUPSTYLE KWASABABU HAPA NDIPO WABUNIFU WANAPOTUMIA KUINGIZA MATOLEO YAO MAPYA LAKINI PIA KUJA KITOFAUTI ILIMRADI KILA MMOJA KUONEKANA BORA YA MWENIE AND MANY MORE.
TUZO ZA GOLDEN GLOBE MARA HII KWA MWAKA 2014 HAYA NDIYO YALIOJIRI KUNAKO KAPETI JEKUNDU
SIJAONA RANGI YA MWAKA IKITAWALA LAKINI, SIJAELEWA KIDOGO
Japo Rangi Ya Gold imekuwa ikipendwa sana lakini haikufanya rangi ya silver isivaliwe kabisa, Tazama hapa Mastaa kama Mila Kunis, Kate Beckinsalena Kate Mara walivyotokelezea na rangi hiyo
Mastaa Kama Naomi Watts na Zooey Deschanel walionekana kupendeza sana na naina hii ya magauzi haya ya rangi ya Gold kwenye kitambaa laini kabisa.
Ilimradi tu kuwa tofauti hawa nao wakaamua kufanya yao, maana kila mtu anavaa sasa vipi utoke tofauti??