Mjukuu wa Rais wa zamaniwa Afrika Kusini Nelson Mandela ameshitakiwa kwa kosa la kumtishia mtu silaha ya moto mwezi uliopita,amesema mwendesha mashtaka Afrika ya kusini…,
Mandla Mandela ni mshitakiwa wa kutishia silaha baada ya mtu huyo kugonga gari lili lokuwa likiendeshwa na moja ya wageni wa Mandela mwezi Oktoba,.
Mandela alionekana katika mahakama ya hakimu, Mthatha, na kesi yake iliahirishwa hadi Februari 24.