Msichana wa kikenya anayeendelea kufanya vizuri katika angaa ya movie industry huko HollyWood Marekani Lupita Nyong’o ameshinda Tuzo ya 2014 Critics’ Choice Awards kama Muigizaji Bora Msaidizi kwa Upande wa wanawake
pamoja na kutajwa katika kipengele hicho hicho katika Tuzo kubwa za Oscar 2014 zinazotarajiwa kufanyika mwezi march mwaka huu
Mtangazaji O’prah ni miongoni mwa waliolengwa lengwa na machozi wakati mrembo huyo wa kiafrica mwenye kipaji kikubwa akipokea tuzo hiyo kwa movie yake aliyoigiza ya “12 Years a Slave” ikiwa imeongozwa na director Steve McQueen,
Not only did she earn herself an Academy Award nomination for Best Supporting Actress early on Thursday (Jan. 16), but she also took home a trophy in the same category for her work in “12 Years a Slave”
“Thank you. I’m a little terrified,” alisema Lupita Wakati Alipopokea Tuzo hiyo huku machozi yakimbubujika “I’m so honored to be here and I just want to thank the BFCA for this incredible honor.
Binti Huyo Alii dedicate Tuzo hiyo kwa mjomba wake ambaye mara kadha aliwahi mtembelea wakati anafanya kazi yake na kumuambia “Uko Vizuri” huku akimsii kusubiri kuona HollyWood Itampokeaje.
Lupita Nyong’o ni msichana wa kikenya aliyezaliwa mwaka 1983 akiwa ni mtoto wa pili kati ya watoto sita katika familia yake, alizaliwa Mexico wakati wazazi wake wakiwa ni wakimbizi wa kisiasa. Ni muigizaji wa nchini kenya na ni muongoza filamu