Walivyopendeza mama na mwana, Mwanamuziki Beyonce na mini-me wake , Blue Ivy, wakiwa kitaani huko New York city
Blue Ivy Alikua kavalia kitu cha Leather walikua peke yao bila baba Ivy mwanamuziki Tajiri sana marekani Jay Z