Love the way you lie, nilitaka kufanya nae kazi tena na tulifanya “Love the way you lie part2, alafu nilitaka kufanya nae kazi , napenda kufanya kazi na Eminem, ni moja ya marepa ninaowapenda na mashairi yake, ni mwandishi wa kweli na nasikia raha kuhusu yeye, kwa wimbo huu, nilitaka mtu sio kwa sababu anauwezo tu lakini pia alivyo.
Na nilihitaji mtu fulani ambae kweli anaelewa maono na metaphor katika wimbo sio kwenda na kusema kitu moja moja lakini unasema kitu baadae mtu anasumbua kichwa ndo anaelewa na Eminem yuko fresh katika hilo” alisema Rihanna.
Mwezi Agosti Eminem na Rihanna watagusa vichwa vya habari duniani kutokana na tour yao ya Mosnster, ilieleza tovuti ya Eminem, “Tour itaanza Los Angeles Alhamisi 7 pale Rose Bowl kisha itahamia New York City pale Metlife stadium Jumamosi Agosti 16 na Detroit itakuwa Comerica Park Ijumaa Agosti 22.
Headlines zitakozokuwa zikitokea katika Mosnster tour utazipata hapa hapa salmamsangi.com.