kuna ile kauli huwa wanasema Mtoto Kwa Mwenzio, Tazama jindi Muda unavyokwenda jamani, ni juzi juzi tu hapa habari za Kim kardashia Kubeba mimba mpaka kujifungua hatimae ndoa zilitawala katika masikio ya wapenda burudani.
Mara tu jana hatimae mtoto huyo aliyepata kuwa gumzo baada yakuzaliwa kwake na kupewa jina la North West ametimiza mwaka mmoja
Hapa Mtoto North West Akiwa na Babba Yake ikiwa ni siku yake yakuzaliwa
picha hiyo ilifuatiwa na maneno haya kutoka kwa mama mzaa chema
Kim kardashian
“This is what life is about! Our baby girl turned 1 today! We played so hard they passed out while we were watching the game! Happy Father’s Day to the best dad in the world! The way you love our daughter and protect her makes me filled with so much love!”