
Ni Leonid Stadnyk inaaminika ndio mtu mrefu zaidi Duniani kuwahi kutokea akiwa na 8ft 4 inches,
Leonid Stadnyk aliyekuwa na asili ya Ukrain na aliyekuwa anatokea kijiji cha Podoliantsy,ameefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 44 siku ya jumapili August 24th kutokana na matatizo ya ubongo .
Wakati mmoja wa mahojiano yake Leonid, aliyekuwa anazungumzia urefu wake pia kwanini alikataa kupima urefu wake na kuingizwa katika Records za kitabu cha Guinness na kwanini alikataa koa alisema
“Kwangu mimi urefu wangu ni sababu,Labda Adhabu toka kwa Mungu sio kitu cha kusherehekea, katika maisha yangu nilikuwa na ndoto za kuwa kama watu wengine wote tu wakawaida,so sitaki wala sihitaji umaarufu wa kidunia tu ambao ulimwengu umeamua kujitengenezea kwa hivyo nisingependa kuwepo kwenye kitabu cha Guinness”
“Sijawahi Kuoa kwasababu sijataka kumuingiza mke wangu katika matatizo yangu nadhani haitakuwa sawa kwakwe”
“At one point, his condition, called giganticism, left him growing at the rate of roughly a foot every 3 years. His feet measured 18 inches in length while his palms were more than a foot in diameter
RIP Leonid
