
Muigizaji wa vichekesho kutoka nchini Grace Lindsay Mbabazi almaarufu kama Annie Kansiime kwenye video za ‘Don’t mess with Kansiime’ amelazwa hospitali hospitali kufuati kuugua homa.
Muigizaji huyo wa kike alipokelewa katika kituo cha matibabu cha Abavita Ababiri huko Entebe ambapo aliwekewa drip.
Grace Lindsay Mbabazi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu cha Nkumba,wakati huo,Mbabazi anaendelea vizuri na kutokana na ripoti anaweza akaruhusiwa kutoka na mitihani inaanza wiki hii.
Ugua pole Kansiime,upone mapema uendelee na mishe zako.
