
Mdada Huyo kwajina Ni Justine Sacco mzaliwa Wa Africa Kusini ila anayeishi Marekani Na Kufanya Kazi Huko kama PR wa kampuni, basi aka tweet maneno hayo kama yanavoonekana katika picha. akimaanisha “NAENDA AFRIKA, NATUMAI SITAPATA UKIMWI,MIMI NI MZUNGU”
kitendo hicho kimetafsiriwa kama kitendo cha uzalilishaji na ubaguzi kwa waafrika kimefanya dada huyo afukuzwe kazi na kampuni aliyokua anaifanyi kazi, lakini pia mrembo huyo mbaguzi amewaomba msamaha wa Afrika huku akikiri kuwa alichokifanya ni upumbavu
