KAMA HUKUONA KIPINDI CHA MAHOJIANO NA MSANII WAKAZI MUSIC TAZAMA HAPA, MOJA KATI YA ALIOONGELEA NI NAMNA ALIVYOWEZA KUPENYEZA KATIKA GAME HII NGUMU KWA SASA LAKINI PIA ALIWASIHI WASANII WAPIGE KAZI NA KUACHA KULALAMIKA TU.