Hii inathibitisha ya kuwa hata huko kwa wenzetu kwenye maendelea makibwa kisanaa hasa ya muziki kuwa mambo ni magumu na kila siku wasannii hata wale wakubwa sana wanaendelea kutuia nguvu za ziada kuendelea kubaki katika nafasi zao ili kuepusha kufunikwa na vizazi vipya vinavyokuja kwa kasi sana kwenye game industry... Read More →
Mwanamziki Justine Bieber ameonekana akijifariji katika fukwe za bahari huko Panana baada ya kuwa nje kwa dhamana kwa kosa la kuendesha gari akiwa ametumia vilevi vya Pombe na Bangi huku akitumia leseni iliyomalizika muda wake lakini pia kushiriki mbio za magari zisizo rasmi Bieber alikamatwa na kuwekwa ndani baada ya... Read More →
Wazazi wa North West Kanye Na mchumba Wake Kim Kardashian Wametanganza rasmi kuuaga ukapera na kutenda tendo la ibada La Ndoa hivi karibuni Kanye na Kim wawili hao ambao kwa sasa ni wazazi wamesema wanatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita mwaka huu huku harusi hiyo ikigharamiwa kwa kiasi kikubwa... Read More →
WABUNIFU mbali mbali kupamba miaka 10 ya onyesho la mavazi lijulikanalo kama ‘Lady in Red Super brand, 10th Anniversary’ linalotarajiwa kufanyika Februari 14, ambapo pia litatumbuizwa na burudani kutoka kwa Babloom Trio bendi na Wanne Star, kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Fabak Fashions... Read More →
KAMA HUKUONA KIPINDI CHA MAHOJIANO NA MSANII WAKAZI MUSIC TAZAMA HAPA, MOJA KATI YA ALIOONGELEA NI NAMNA ALIVYOWEZA KUPENYEZA KATIKA GAME HII NGUMU KWA SASA LAKINI PIA ALIWASIHI WASANII WAPIGE KAZI NA KUACHA KULALAMIKA TU. Comments
Washindi watakaosafiri kwenda angfa za juu na Maseko DJ mmoja mwenye umri wa miaka 25 nchini Afrika Kusini anatarajiwa kuwa mwafrika wa kwanza kufika katika anga ya juu zaidi. Mandla Maseko ni mmoja wa watu 23 ambao wamejishindia nafasi ya kuweza kufika katika anga ya juu mnamo mwaka 2015.... Read More →
Mgomo mkubwa zaidi wa wafanyakazi wa machimbo ya madini ya Platinum nchini Afrika Kusini kulalamikia mishahara duni… Chama cha wafanyakazi wa sekta ya madini nchini humo AMCU kimesema kuwa zaidi ya wafanyakazi elfu sabini wameingia katika mgomo huo kwanzia siku ya jana ya Alhamis hadi matakwa yao yatakapotimizwa. Huu ni... Read More →
Rais wa mpito katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Catherine Samba Panza, ameapishwa katika sherehe maalum mjini Bangui…. Samba Panza, ambaye ni mwanamke wa kwanza kuwahi kutawala nchi hiyo, ameahidi kumaliza ghasia za kidini pamoja na kukabiliana na hali mbaya ya kibinadamu. Anamrithi Michel Djotodia, aliyetawazwa kama Rais wa kwanza... Read More →