Mkurugenzi wa kampuni ya benchmark production inayoandaa shindano la kuimba la Epiq Bongo Star Search Rita Poulsen akizungumza na waandishi wa habari na kutangaza kuwaingiza washiriki wake walioingia 20 bora kambini, ambapo pia amesema litakuwa likionyeshwa na kituo cha televisheni cha TBC kila Jumapili saa tatu usiku na kurudiwa kila... Read More →
Leo nauthibitisha ule usemi wa Nabii hathaminiwi kwao na kweli naamini sasa kila mtanzania ni Star… Pamoja na Feza kutuwakilisha vizuri sana katika shindano la Big Bother The Chace kule Afrika kusini lakini alipata mapokezi hafifu sana toka kwa watanzania kwani walioonekana uwanjani walikuwa ni ndugu zake tu na rafiki... Read More →
Hivi ndivyo Peter Okoye wa kundi la P’Square anavyotumia Muda wake na familia yake kabla ya safari za kikazi. Kupitia mtandao wa InstaGram Peter amepost picha zinazomuonyesha akicheza na watoto wake huku akijaribu kuendesha vigari vya watoto wake katika kuashiria furaha tu ya kuwa na Familia Hata hivyo peter aliandika... Read More →
WeekEnd Iliyopita Manager Wa Msanii Lady Zeyna, Blandina alisherehekea Siku yake ya kuzaliwa kwa bonge la Party lililofanyika nyumbani kwakwe Kinondoni Dar Es Salaam Msanii Lady Zeyna Aliye Chini ya mrembo huyo Blandina kwa sasa anatamba na wimbo wake ‘Mwanaume kama capert’ Hizi ni baadhi ya Picha katika... Read More →
Wakati watanzania wengi wakiendelea kumakatwa katika nchi mbali mbali duniani wakisafirisha Madawa Ya kulevya mpaka kuchafua jina la nchi na kufanya viongozi kutaharuki na kuamua kuingilia kati katika mapambano dhidi ya biashara hiyo Haram Dunia nayo inaonekana kupigana kwa nguvu zote kukomesha biashara hii Haramu ambayo imeleta Athari kubwa sana... Read More →
KWA mara ya kwanza tangu lilipoibuka sakata la watu maarufu kujihusisha ama na utumiaji au usafirishaji wa dawa za kulevya, jina la mwanamuziki anayeaminika kuwa na ukwasi mkubwa kwa sasa hapa nchini, Nasseeb Abdulmaliki, maarufu zaidi kwa jina la Diamond, limeanza kutajwa kuwa ni miongoni mwa vigogo wa ‘unga.’ Tayari... Read More →