News
Video Teaser: Ngoma Inogile – Ude Ude
Tazama hapa Video Teaser ya msanii Udeude ambaye amaekuja tena na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Ngoma Inogile. Video Itazinduliwa Rasmi kwenye sikukuu ya Eid Mosi Club Bilcanas na kisha itafuatwa kuonyeshwa kupitia vituo Mbali Mbali Vya Television Ude Ude ambaye yupo chini ya Babuu kisauji Intertainment Amejipanga... Read More →
Video:Huyu Ndio Mtoto Yatima Aliyemsomea Wema Sepetu Dua
Siku ambayo Wema Sepetu alifturisha nyumbani kwakwe maeneo ya kijitonyama Jijini DarEsSalaam, Pamoja na kwamba aliwaalika Ndugu na Marafiki zake Pia alipata bahati ya kuteremshiwa Duah Na mtoto Mdogo Mwernye uwezo mkubwa katika maswala ya Duah, Tunaamini Duah Inayosomwa na Mtoto mara nyingi hupokelewa kwa haraka Zaidi na kwa urahisi,... Read More →
Wema Sepetu Afturisha Yatima, Dua Ya IFTAR yasomwa na mtoto Mdogo Mwenye Uwezo Mkubwa
Kama tulivyo Agizwa katika Vitabu vitakatifu kuwa wenye uwezo wawasaidie wasiojiweza sio tu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani lakini kila wakati, Mrembo Wema Sepetu anayekubalika zaidi kwenye jamii ya Tanzania ndivyo alivyothibitisha hilo leo 29/07 baada ya kufturisha watoto yatima pamoja na Ndugu, jamaa na marafiki walioshiriki katika Iftar hiyo... Read More →
Hizi Ajali Kubwa kubwa Duniani ni ishara ya nini, Nyingine ya basi Italy Mara baada ya ile ya Treni Hispania
Sehemu ya basi lililohusika kwenye ajali Ajali nyingine ya basi imetokea huko Italy na hii ni muda mfupi tu mara baada kuripotiwa kwa ajali nyingine ya Treni iliyotokea huko nchini Hispani na kuua watu 79. Waokoaji kusini mwa Italy wamesema kuwa takriban watu 38 wameuawa baada ya basi moja waliokuwa... Read More →
Big Brother The Chase: Mtanzania Nando Atimuliwa Mara Baada ya eviction Show
Mshiriki wa Tanzania Nando Amefukuzwa kutoka nyumba ya Big Brother baada ya kushindwa kutimiza vigezo na Mashart ya Nyumba hiyo Baada ya kuanzisha ugomvi Na mshiriki kutoka Ghana Eliken siku ya Ijumaa. Nando ndio alikuwa kinara wa ugomvi huku maneno makali na mazito yakimtoka kumtusi Elikem huku kaka hyo wa... Read More →
Picha: The Mbonie Show Iftar Ilivyofana Karemjee hall
The Mbonie Show kupitia mtangazaji wake Mboni Masimba leo 28/07 waliandaa Iftar katika viwanja vya karemjee ikiyohudhuriwa na watu muhimu Akiwemo Rais mstaafu wa awamu ya Pili Mh. Ali Hassan Mwinyi, Aliyewahi kuwa katibu msaidizi wa umoja wa mataifa Mama Asha Rose Migiro, Sheikh wa Mkowa wa Dar Es Salaam... Read More →
Picha: Hivi ndivyo Oprah Alivyoifaidi Ardhi ya Tanzania,Na kuitangaza Serengeti Duniani
Hivi karibuni mtangazaji maarufu sana duniani Oprah Winfrey Ametembelea Tanzania katika mbuga ya wanyama ya Serengeti, Katika kuonyesha kufurahiya uwepo wake katika Ardhi ya tanzania Na ku enjoy maliasili na utajiri wa nchi hii amepost picha nyingi kupitia mtandao wa Instagram zinazomuoyesha yeye pamoja na wanyama ambao amewaona live kwa... Read More →
Picha: Iftar na Wanachama Wenzangu wa Strength Of The Woman
Mwezi huu wa Ramadhani umekuwa ni mwezi wamafanikio mengi sana kwa watu mbalimbali kukutana na kupata Ftari pamoja, Jana Jumamosi 27/7 llikuwa ni wakati mzuri niliopata Iftar na wanachama wenzangu tunaounda JAMII YA kusaidiana katika shida na raha STRENGTH OF THE WOMAN. Ahsante kwa waandaaji wa ftar hii Baba na... Read More →
Takwimu: Zaidi ya Wasicha milioni 30 wapo katika foleni ya Kukeketwa
Zaidi ya wasichana milioni 30 wako katika hatari ya kukeketwa katika kipindi cha miaka kumi ijayo. Hii ni kwa mujibu wa shirika la Umoja wa mataifa la kuwahudumia watoto la Unicef. Shirika hilo limesema kuwa zaidi ya wasichana milioni 125 na wanawake walio hai hii leo wamefanyiwa ukeketaji, kitendo ambacho... Read More →
Big Brother The Chase: Washiriki Fake walivyotolewa Ghafla, Nando ataka kuzipiga na Elikem
Washiriki Feki wakiwa Diary Room baada ya kustukizwa kuwa safari yao mdio imeishia hapo wakiwaaga washiriki halali kupitia Scree iliyopo living room Kutoka ndani ya nyumba ya Big Brother wiki hii moja kati ya matukio makubwa ni lile la washiriki feki kutlewa ghafla bila yeyote kutegemea kuanzia real house mate... Read More →
Hizi ndio sababu za “Jackie Cliff” kulitupa kwenye Dustbin jina lake la zamani “Diva Boss Lady”
Pamoja na Sababu alizozitaja katika waraka wake aliouandika na kuutoa kupitia ukarasa wake wa Instagram kuwa “NIMEAMUA KUBADILISHA JINA LANGU KUTOKA ‘DIVA BOSS LADY’ KUWA’ OFFICIAL JACKIE CLIFF’ NA HII NI KUTOKANA NA WIMBI LA MABOSS LADY WALIYOIBUKA NA KUTUMIA JINA HILO NDANI YA MTANDAO HUU A INSTA, SASA KUWA... Read More →
