Hivi karibuni mtangazaji maarufu sana duniani Oprah Winfrey Ametembelea Tanzania katika mbuga ya wanyama ya Serengeti, Katika kuonyesha kufurahiya uwepo wake katika Ardhi ya tanzania Na ku enjoy maliasili na utajiri wa nchi hii amepost picha nyingi kupitia mtandao wa Instagram zinazomuoyesha yeye pamoja na wanyama ambao amewaona live kwa macho yake huku akiandika maneno ya kufurahishwa katika picha hizo.
Hizi ndio picha alizopost Oprah katika Instagram  alipotembelea Serengeti