Mashabiki Wachukizwa Na Bei Kubwa Ya Tiketi Ya Kukutana na Kumsalimia Justin Bieber

Muimbaji wa ngoma ya Boyfriend kutoka Canada mkali Justin Bieber ameripotiwa kuchaji kati ya dola 2,000 paundi 1,314 kwa ajili ya kukutana na kumsalimia ikiwa ni package kwenye tour yake ya Purpose,sio kila mtu amependezwa na bei hiyo. Bieber mwenye umri wa miaka 21, ataanza tour ya 58-date ya Marekani... Read More →