Jaguar ndio Msanii pekee Kenya anayemiliki Ndege
Mwanamuziki kutoka Kenya, JAGUAR amenunua ndege binafsi … Jaguar anaefanya vizuri kwenye muziki wake huko nchini Kenya na Africa kwa ujumla inasemekana he had purchased ndege yake hiyo binafsi siku za nyuma kipindi cha kampeni za uchaguzi nchiniKenya na ameshaitumia mara kadhaa … Jaguar ambae hivi karibuni ameachia single yake mpya inayojulikana kama KIPEPEO inasemekana amenunua ndege hiyo ambayo pia ameshaipa... Read More →
















