Hamza Kassongo: Muandishi mkongwe aliepata Mafanikio
Kupitia tuzo za waandishi wa habari zilizofanyika ijumaa usiku pale diamond jubelee hall, Mwanahabari Mkongwe Hamza Kassongo alipata Tuzo ya Mwandishi Wa Habari Mkongwe aliepata Mafanikio Bwana Kassongo akiwa na moja ya Majaji wa Tuzo hizo. Mzee Hamza Kasongo mwenye umri wa miaka 74, ni mtangazaji mkongwe wa radio na... Read More →
