PREZZO KUKINUKISHA LEO NEW MAISHA CLUB
Habari ipo hivoo… Presidaa Prezzo akiwa katika picha ya pamoja na Wema pamoja na Kajala Prezzo kashatua mjini na tayari kukinukisha pande za New Maisha Club leo usiku. Mapozz ya picha muacheeee Ndio: upigapo picha shurt kujiachia New Maisha Club ndio sehemu ya kujiachia Leo usikose. Comments






