Picha: Kajala Masanja Anavoonekana Kwa Sasa.
Kajala Masanja aliekua anakabiliwa na kesi ya kutakatisha pesa hatimae yupo huru na anafurahia maisha tena baada ya kulipa fain ya Milion 13 zilizotolewa na msanii Mwenzake Wema na kumfanya awe huru. Kajala akiwa na Wema Sepetu na Rafiki Petit Man Kajala na Petit Man Comments
