Maajabu Ya Technolojia, Tangazo La Biashara Lagawa Maji Ya Kunywa
Hii Teknologia sasa jamani imefika mbali kwakweli katika nchi za wenzetu, huko Lima Peru Amerika Ya Kusini Chuo kikuu cha teknolojia cha Peru kimeanza mradi wa kuzalisha maji yatokanayo na njia ya hewa. Mfumo wa teknolojia hiyo ni kama Bango la matangazo lakini linatengeneza maji kwa njia ya hewa na... Read More →
