Watoto Waliofungwa Jela Marekani Kwa Mauji Wakaribia Kutoka
Wamekuwa watoto waliokamata headlines na kuweka historia, Curtis Fairchild Jones (13) na dada yake mwenye umri wa miaka 13, Catherine, walikubali kwamba walimuua mpenzi wa baba yao anayeitwa Sonya Nicole Speights mwenye umri wa miaka 29, mwaka 1999. Dalili za mwanzo zilionyesha mauaji yalisababishwa na wivu, lakini baada ya mafaili... Read More →