Juma Jux Ampanikisha Diamond Platnumz, Ni Baada Ya Kupost Mjengo Wake Wa Kifahari, Ajibu Mapigo
Baada ya msanii Juma jux Kupost Mjengo Wake Wa kifahari Hivi karibuni kupitia Account yake ya picha Instagram na kuambatanisha maneno yasemayo Hali hii imeonekana kama kumpanikisha msanii Diamond Platinumz ambaye ndio inasemekana mwenye mafanikio zaidi nchini Tanzania, Baada ya kujibu mapigo kwa kupost nyumba yake iliyopo huko Tegeta... Read More →