Msanii Wa Bongo Flava Mez B Afariki Dunia
Msanii memba wa kundi maarufu linapatina Dodoma Chamber Squad limezidi kupuputika baada ya kuondokewa na msanii mwingine Mez B baada ya Ngwair kufariki mwaka juzi. Mez B ambaye jina lake halisi ni Moses Bushagama alikuwa mmoja wa wasanii waliokuwa wanaunda kundi la Chamber Squad lililotamba na wasanii kama Mangwea (Marehemu),... Read More →