Huyu Ndio Mwanajeshi Wa Kimarekani Aliyemuua Gaidi Osama Bin Laden, Aonekana Kwa Mara Ya Kwanza, Awa Dili HollyWood

Rob O’Neill Mwanajeshi wa kimarekani aliyemuua Gaidi Osama Bin Laden Rob O’Neill 38,ambaye kwa sasa amepewa jina la SEAL Team Six Hero baada ya kufanikiwa kumpiga risasi Tatu Kichwani Master Mind wa September Eleven Osama Bin Laden Na kumuulia Mbali , kwa sasa Rob amekuwa gumzo na kuvutia wanafilimu wa... Read More →