Snoop Dogg Amnukuu Big Sean Alipoulizwa Kuhusu Kufanya Kazi Na Iggy Azalea

Snoop Dogg aliulizwa kuhusu kufanya kazi na Iggy Azalea, lakini alijibu akimnukuu Big Sean “I don’t F….With You”. Siku chache baada ya repa kutoka Australia Iggy Azalea naye aliulizwa kama hatawahi kufayna kazi na Snoop Dogg kufuatia tofauti zao zilizojitokeza siku za nyuma naye pia aliulizwa swali hilo hilo. Alipofuatwa... Read More →