Mkongwe Wa Muziki Wa Rock David Bowie Afariki Dunia
Muimbaji mkongwe wa Rock, David Bowie amefariki baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu, mkongwe huyo alifariki akiwa amelala. Kutokana na taarifa iliyotolewa kwenye ukurasa wake wa face book, David Bowie alifariki kwa amani leo akiwa amezungukwa na familia yake baada ya ujasiri waliouonyesha kwa miezi 18 akiugua saratani. Wakati... Read More →