Chriss Brown Amsifia Kendrick Lamar Kwa Mashairi Makali Hajawahi Kusikia

Chriss Brown amesema Kendrick Lamar ni kwere, noma sana, Chriss Brown alifanya na ngoma na Kendrick Lamr kwenye ngoma inaitwa “Autumn Leaves” na mkali huyo wa ngoma ya “loyal” anasema anaheshima kubwa kwa mkali wa albamu ya good kid, m.A.A.d. city Kendrick Lamar. “Kendrick ni noma, nadhani ni mshikaji fresh... Read More →