NMB Yazindua Promosheni Ya Weka Ushinde!!

NMB ikiwa ni benki ya chaguo la watanzania wengi,sasa basi taarifa njema ni kwamba (14 Sept) imezindua rasmi kampeni kabambe ‘Weka na Ushinde’ ambayo itakushawishi wewe mteja kuweka fedha benki ili uweze kujipatia ushindi ambao si wa Bajaji,Bodaboda,Baiskeli au fulana za NMB tu bali pia faida kubwa ya riba na... Read More →