RIP Bibi Wa Fashion Police Joan Rivers

Baada ya kuwa hospitali kwa muda kiasi akitiviwa baada ya moyo wake kusimama wakati anafanyiwa upasuaji wa koo huko Ne York, Bibi wa fashion police Joan Rivers Amefariki Dunia Mtoto wake wa kike Melissa ndio aliyetoa taarifa za msiba wa mama yake kwa kuandika ‘It is with great sadness that... Read More →