Mwanamitindo Ataui Deng Aliyepotea, Amepatikana Hai Hospitalini NYC

Mwanamitindo msudan anayefanya shughuli zake za uanamitindo nchini Marekani Ata Deng 22, ambaye ni mpwa wa mwanamitindo mkubwa Alek Wek aliyekuwa amepotea kwa siku 19 amepatikana Hospital huko NYC, Ataui Deng Alipotea baada ya kuondoka kwenye kwenye party ya Attic west 48th street huko New York akiwa na mpenzi wake... Read More →