Rihanna Ni Kweli Anataka Kuinunua Liverpol?
Wakati alipokuwa akitweet matukio ya furaha wakati wa kombe la dunia, haikuwa bila sababu, Shabiki huyo wa mpira ambaye ni mwanamuziki maarufu duninai mwenye vimbwanga!! Riri anataka kuanzisha chuo cha mpira wa miguu huko kwao Barbados na pia anaongea kuhusu kununua klabu ya mpira. Kwa sasa kuna taarifa kwamba... Read More →
