Mlinzi Wa 50 Cent Achunguzwa Baada Ya Tuhuma Ya Kumpiga Mtu Kwenye Mall

Mlinzi wa repa wa G. Unit, 50 cent ameripotiwa amempiga ngumi kijana mwenye umri wa miaka 16 baada ya kujaribu kupiga picha na video msanii wa hip hop 50 cent akiwa na mtoto wake. Vyombo vya dola vimesema 50 cent alikuwa akifanya manunuzi Burbank Town Centre akiwa na mtoto wake... Read More →