Memba Wa Zamani Wa Destiny Child Atiwa Mbaroni

Kipindi chao kama unakumbuka Destiny Child ilikuwa ikibadilika badilika sana mara kaingi huyu mara katoka huyu, katika hao kulikuwa kuna mwanadada mmoja anayeitwa Farrah Franklin ambae nae alikuwa pamoja na Beyonce Knowles, Kelly Rowland, Michelle Williams pamoja na mwenyewe Farrah ambae amekamatwa. Farrah alidumu ndani ya kundi la Destiny Child... Read More →