Meek Mill Ataendelea Kubaki Mpaka Septemba

Mwanasheria wa Meek Mill anasema kwamba maombi mawili ya dharura ya kusikilizwa kesi ya Meek Mill yamekataliwa, kwa hiyo imeonekana kwamba repa huyo kutoka Philladelphia atabaki jela mpaka Septemba. Taarifa kupitia Philly.com ziliripoti kwamba maombi ya dharura ya mwanasheria wa Meek Mill Christopher Warren ya kusikilzwa tena kwa kesi hiyo... Read More →