T.I A.K.A the King of South na mke wake Tiny wamemjibu Flloyd kutokana na comment yake aliyoitoa wiki iliyopita kwamba alitembea na mke wa T.I.
Flloyd alisema beef yao imekuja kwa sababu alitembea na mke wake.
Tiny aliiambia TMZ kwamba hajawahi kutembea na Mayweather na anadhani anafanya hivyo ili kumlipizia baada ya kumtukana siku ya tuzo za BET huko Los Angeles mwezi uliopita.
“Natumaini anajifurahisha, Mungu ambariki” alisema T.I.
Jumamosi Mayweather tena akakana tena akasema kwamba walimsikia vibaya wakati akifanya mkutano na waandishi wa habari hakusema hivyo.
“Kwenye mkutano na waandishi wa habri nilisema, T.I anadhani nimetembea na mke wake, sikusema kama nimetembea na mke wake, sijawahi kuwa na mahusiano na Tiny, namuheshimu na nadhani ni mtu fresh, sitamvunjia heshima katika ndoa yake” alipost Mayweather kwenye instagram yake Julai 19.
Wakati wa mkutano wake na waandishi wa habri Alhamisi kwa ajili ya kupromoti pambano lake la Septemba 13 na Maidana aliongelea beef yake na T.I.
Ndipo shabiki akauliza vipi kuhusu T.I?
“Jamaa akaropoka nimetembea na mke wake, Weather alisema hayo katika video iliyopostiwa na DDOTOMEN.
Lakini Weather aliweka mambo sawa na kusema yote hayo yalikuja kwa sababu Tiny alikuwa na supporters wa Mayweather.
Katika mahojiano Maei 25 Mayweather alikana kutembea na Tiny.
“Nilikuwa namjua Tiny kabla ya T.I, sijawahi kutembea nae, wala kumbusu, wala kumgusa katika njia isiyo sahihi, rafiki yake Shekinah alitaka kuja kwenye pambano Mei 4 akaja na Tiny, walikuja wote” alisema Mayweather”
T.I Na Tiny Wamjibu Flloyd Mayweather
Next Story
Meek Mill Ataendelea Kubaki Mpaka Septemba
Related Posts
-
-
Kwa Mara Ya Kwanza Jay Z Na Beyonce Waonyesha Picha Zao Za Harusi Waliyoifunga kwa Siri Miaka 6 Iliyopita
-
Inawezekana Kundi La Camp Mulla Likarudi Mwaka 2015, Studio Watakayofanyia Kazi Yatajwa!!
-
Rick Ross Awadiss Drake, Lil Wayne,Puff Daddy
-
Picha: Castle Lite Just Got Paid Ilivyofana
-
Kauli Ya Mama Wa Muigizaji Elizabeth Michael “Lulu” Kizungumkuti
-
‘Lady in Red Super brand, 10th Anniversary’