Memba Wa Outlawz E.D.I Mean Asema Usiri Utafanya Tupac Aendelee Kuishi Milele

Baada ya kuwepo kwa uvumi kwamba memba wa Outlawz walichukua majivu ya mwili wa Tupac na kuvuta, mkali huyo ameibuka na kuvunja uvumi huo na kusema hawakufanya hivyo na Tupac yuko hai. Mapema mwezi huu kulikuwa na uvumi kwamba Tupac anadanganya kuhusu kifo chake , uvumi huo uliibuka tena baada... Read More →