The Game Na Lil Durk Beef Lazidi Kuongezeka

Kama kawa msanii ambaye mara kwa mara amekuwa katika headlines kwa sababu ya beef kibao, beef zake bado hajazila akazimiliza mkali anayewakilisha Compton, The Game amekutana na mshikaji ambae hazipandi kabisa huko California katika klabu ya usiku taarifa kutoka MTV zimeripoti, Game na Lil Durk walirushiana maneno. The Game alikuwa... Read More →