P’Square Wafanya Colabo Na Rapa TI wa Marekani

Hawajazungumza Lolote Kuhusiana na ujio wowote wa ngoma na msanii TI wa marekani ambaye wameonekana naye sana lakini chanzo cha karibu na wasanii hapo kimesema wana ngoma wamefanya na Rapa Huyo TI na video iliyofanyika Atlanta Marekani Mapacha Hao Pamoja Na TI Wakati Wa utengenezaji video Hiyo... Read More →