Mauaji Mengine Yawakuta Wakenya, Watano Wapoteza Maisha

Takriban watu watano wameuawa katika shambulizi lengine katika eneo la pwani ya Kenya. Mauaji hayo yametokea karibu na eneo ambako mashambulizi mengine yalifanyika wiki jana na kusababisha vifo vya watu zaidi ya sitini. Maafisa wanasema kuwa kundi la watu waliokuwa wamejihami walivamia kijiji cha Watu ambacho kiko umbali wa kilomita... Read More →