Mwanamke Mwenye Miaka 60 Amejifungua Mtoto Wake Wa Kwanza Baada Ya Kumsaka Kwa Miaka 30

Mwanamke Mmoja Wa Kinaijeria Omolara Irurhe mwenye umri wa miaka 60 amepata mtotowake wa kwanza baada ya kuhangaika kupata mtoto kwa zaidi ya miaka 30 Mama Huyo Amejifungu Mtoto wake wa kike siku ya juma tatu june 16 huko Lagos Taarifa zinasema Mwanamke Huyo Aliyekuwa Ndoani kwatakribani miaka 31 Na... Read More →