Mtoto Wa Mwanasoka Wa Zamani Pele Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 33,

Edinho, mtoto wa Pele amehukumiwa kifungo cha miaka 33 jela. Kwa mujibu wa BBC, Edinho mwenye umri wa miaka 43, amepewa hukumu hiyo kwa kosa la ulanguzi wa fedha kwa ajili ya kusafirisha dawa za kulevya. Alikamatwa kwa mara ya kwanza mwaka 2005 na kutumikia kifungo jela kwa kosa la... Read More →