Wanaowania Tuzo Za Kili 2014 Watajwa, Vipengele ni 34…Nimevurugwa, Uzuri Wako, TemaMateTuwachape Zimetolewa mchakatoni Kwasababu Za Kimaadili

Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania. Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA ilitangaza nyimbo ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na sababu za kimaudhui kama unavyoona... Read More →