Msimu Wa Christmas Umefika Kila Mtu Anashine Go Bey! Go Bey!
Mke wa Jay Z,mama Blue Ivy,Beyonce ameonekana katika mitaa ya New York City akiwa amevalia full nguo za Christmas,alikuwa akienda kwenye holiday party akiwa na msaidizi wake.Happy holiday people! Comments