Rais Wa Bayern Munich Uli Hoeness Ahukumiwa Kwenda Jela Kwa Kukwepa Kulipa Kodi

Huyu ni Mtu mwenye nguvu zaidi Nchini ujerumani kwenye sekta ya soka, Uli Hoeness mwenye umri wa miaka 62 Rais Wa Timu Ya Mpira wa miguu ya Bayern Munich Amehukumiwa kwenda jela miaka 3 na nusu na serekali ya jimbo la Munich baada ya kukwepa kulipa kodi kwa kiasi cha dola... Read More →