
Kumekuwa na matukio mengi tangu kuja kwa hizi simu za smart phone, sasa dunia imekubwa na tatizo la kukosa usingizi sababu ikitajwa kuwa ni matumizi ya mda mrefu ya sim hizo
utafiti uliofanyika nchini uingereza umebaini ya kuwa katika kila watu kumi sita wanatatizo la kukosa usingii, hii insababishwa na mwanga wa blue unaotoka katika simu hizo na kueleke machoni kwa muda mrefu, mwaga huo umetajwa kuwa na adhari kwa macho na kusababisha kushindwa kupata usingizi
Watumiaji wanashauriwa kutotumia sim hizo na vitukama Tablet masaa mawili kabla ya kulala
katika Hatua nyingine ya matumizi hayo hayo na mapenzi ya vitu hivyo Binti mmoja wa nchini Ungereza amejikuta ametumbukia kwenye shimo la maji taka wakati akijaribu kuokoa simu yake aina ya iphone iliyodumbukia katika shimo hilo..
Binti huyo aliyejulikana kwa jina la Ella Anne Birchenough alijikuta amekwama katika shimo hilo na kuwafanya mashuhuda kupiga simu ya dharura ili kuita msaada wa kumnasua.
Kikosi cha zima moto kikimsaidia kumnasua dada huyo katika shimo la maji taka…
Haya Ni matukio mengi ukijumlisha na yale yaliyowahi kuripotiwa kwa baadhi ya watu huko china na india waiowahi kufariki kwa ajali ya kulipukiwa bna sim hizo wakati wanazitumia huku zikiwa zina charge
Mimi ni moja kati ya wale walioathirika na tatizo la kukosa usingizi kwasababu ya matumizi ya sim Hizi na Lap Top Kwaa Ajili ya kazi zangu , lakini kwa sasa nimeliepuka tatizo kwa kupunguza matumizi ya aina hizi za Vitu nakufata ushauri wa wataalam.
Jali afya yako punguza matumizi ya Smart Phone
