
Peter Okoye Amethibitisha Kuwa ni kweli alikuwa na matatizo na na Ndugu zake lakini sasa yamekwisha
Peter anayeunda kundi la P squar na pacha mwenzake Paul ametumia ukurasa wa Tweeter Kuthibitisha hilo na kwamba hiyo ilikua ni hali ya kawaida tu kama ambavyo inaweza kujitokeza kwa mtu mwingne yoyote na famili yake
Hata Hivyo Petter Amesema hayo yamepita na sasa wamerudi kikazi zaidi wakiwa tayari kufanya video yao ya “Test the money” wibo walioshirikishwa na Phyno
Hivi karibuni familia hiyo ilikuwa katika ugomvi Mkubwa mpaka kuhatarisha kundi hilo kutaka kuvunjika
