
Japo Kuwa Ufupi Hivi ndivyo sehemu mpya ya kujiachia mjini ilipofunguliwa Ijumaa Iliyopita ndani Ya Tiffany Diamond Hotel Club Posta Mtaa wa Morogoro na Indiragand Jijini Dar Es Salaam
Mwanamitindo Asia Idorous alipata kusindikiza uzinduzi huo kwa wanamitindo kutoa show ya maonyesho ya mavazi kwa wahudhuriaji wa disko hilo hatare linalogongwa na litakalokuwa linagongwa kila Ijumaa na Jumamosi Huku Lounge Ya Shaba ikiwa inafunguliwa kila siku kwa ajili ya mlo na Vinywaji wakati wowowte ujisikiapo
karibu kila Ijumaa Na Jumamosi kwa Disco Classy na mahali pazuri pakuwa na watu wastaarabu
Tazama Picha hapa Jinsi uzinduzi huo ulivyofana na kila mmoja kuonyesha kufurahishwa kwake na club mpya mjini TIFFANY

1 Comment
gauni zuri salma,hiyo sehemu imetulia